Nyumba inauzwa tabata segerea karibu na kwa Mfojo nyama choma. Ina vyumba 3 (viwili ni self-contained), umeme na maji.
Bei ni milioni 118 wasiliana nami kwa 0717-743560
Picha ndio hizo hapo chini.
Mazungumzo kidogo yapo. Wasiliana nami.
Kama unatafuta kiwanja, viwanja au nyumba ya kununua nchini Tanzania basi anzia hapa. Picha na bei ya kiwanja ukitakacho utaiona kabla ya kuamua kwenda moja kwa moja ili upunguze gharama na kuokoa muda. Pia kama kiwanja unachokitafuta hukioni niulize, na kama una kiwanja au nyumba unataka kuuza wasiliana nami tuweke picha na maelezo.
Thursday, February 20, 2014
Tuesday, February 11, 2014
KIWANJA CHENYE NYUMBA 3 MIKOCHENI B
Kiwanja kipo Mikocheni B karibu na Old Bagamoyo road. Kiwanja kina nyumba tatu kimezungukwa na majengo ya ukweli ndio maana mmiliki ameamua auze akajenge kijijini. Hati ipo, mnunuzi anayemaanisha anatafutwa. Njoo ukione.
Bei ni milioni 550
Wasiliana nami 0717-743560
Subscribe to:
Posts (Atom)