Kama unatafuta kiwanja, viwanja au nyumba ya kununua nchini Tanzania basi anzia hapa. Picha na bei ya kiwanja ukitakacho utaiona kabla ya kuamua kwenda moja kwa moja ili upunguze gharama na kuokoa muda.
Pia kama kiwanja unachokitafuta hukioni niulize, na kama una kiwanja au nyumba unataka kuuza wasiliana nami tuweke picha na maelezo.
Friday, August 30, 2013
KIWANJA GOBA MAGOROFANI
Kiwanja kikubwa mita 36 kwa 50 kipo goba magorofani. Kinafikika bila shida yoyote, umeme unapita jirani kabisa. Kimekatwa kutoka kwenye kiwanja kinachoonekana hapo juu. Bei milioni 30
Muuzaji ni John 0753-097863
No comments:
Post a Comment