Kama unatafuta kiwanja, viwanja au nyumba ya kununua nchini Tanzania basi anzia hapa. Picha na bei ya kiwanja ukitakacho utaiona kabla ya kuamua kwenda moja kwa moja ili upunguze gharama na kuokoa muda.
Pia kama kiwanja unachokitafuta hukioni niulize, na kama una kiwanja au nyumba unataka kuuza wasiliana nami tuweke picha na maelezo.
Wednesday, April 23, 2014
nyumba inauzwa Salasala
Ipo salasala RTD, Mboma Rd, (Kunduchi RTD Area, Kinondoni Municipality) kwenye eneo la 2603 sqm. Ina hati.
No comments:
Post a Comment