Kama unatafuta kiwanja, viwanja au nyumba ya kununua nchini Tanzania basi anzia hapa. Picha na bei ya kiwanja ukitakacho utaiona kabla ya kuamua kwenda moja kwa moja ili upunguze gharama na kuokoa muda.
Pia kama kiwanja unachokitafuta hukioni niulize, na kama una kiwanja au nyumba unataka kuuza wasiliana nami tuweke picha na maelezo.
Thursday, May 8, 2014
NYUMBA TABATA RELINI
Nyumba inauzwa tabata relini, mita 250 kutoka barabara ya Mandela. Ukubwa wa
eneo ni mita za mraba 1492 ipo Tabata Block A Plot namba 331 Wilaya ya Ilala.
Nyumba ina vyumba 4 eneo zuri kwa biashara. (Angalia Video)
Bei Milioni 480
Kwa mawasiliano zaidi piga 0717-743560
No comments:
Post a Comment